Haya Makubwaa..!! Jezi mpya za Arsenal zatengenezwa kwa kutumia Uchafu.


Alex Song, Jack Wilshere, Kieran Gibbs na Wojciech Szczesny

Ni ukweli kabisa ya kuwa jezi mpya za Arsenal zimetengenezwa kwa kutumia Uchafu tena uliomwingi sana.

Arsenal wamezitambulisha jezi zao mpya ambazo ni za mistari ya zambarau na weusi, huku kipa akiwa na jezi ya pinki. Kila jezi iliyotengenezwa imedhihirishwa ya kuwa imetoka na uchafu wa plastic ambao ulingizwa katika mashine na kuweza tumika kutengenezea jez hizo.

WALCOTT

Jezi hizo ambazo zilitangazwa na Walcott, Ox-chamberlain,Song, Wilshere,Gibbs na Szczesny zimetengenezwa na kampuni ya Nike ambayo inatumiaga plastiki.

Oxlade-Chamberlain

Pamoja ya kuwa Wenger na vijana wake watapewa sifa kwa utunzaji bora wao wa mazingira lakini ubaya wa rangi uliochaguliwa bado utabakia kuwa tatizo kwa mashabiki wengi wa Arsenal.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged . Bookmark the permalink. 2 Comments.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: