Fulham wamsajili Rodallega..


Hugo Rodallega..

Fulham wametangaza rasmi usajili wao wa mchezaji Hugo Rodallega kwa mkataba wa miaka mitatu (3).

Hugo Rodallega

Hugo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa mchezaji huru tangu mkataba wake ulipoisha na Wigan mwisho wa msimu huu.

Akiongea katika kiwanja cha mazoezi cha Fulham, Hugo alisema,
Ninafuraha kusajiliwa na Fulham Football Club.
Nlitaka kubakia Uingereza na nimefurahi nimeweza pata nafasi hiyo hapa Fulham.
Ningependa kuwashukuru walimu na mashabiki wa Wigan kwa msaada wao wote wa miaka mitati na nusu nliyokaa kaa pale”.

Kocha wa Fulham Martin Jol nae alisema,
Nimefurahishwa na uamuzi wa Hugo kuamua kujiunga na sie.
Palikuwa na ofa nyingi toka kwa timu kubwa toka hapa Uingereza na nje lakini akaamua kuja kwetu na kutusaidia kuongeza nguvu kikosi chetu.
Ni mchezaji mzuri na ninaimani atafanya makubwa“.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: