Defoe kutua Reading..


Defoe

Timu ya Reading ambayo imepanda daraja katika ligi ya Uingereza, tayari imeshazajili wachezaji watano ambao ni Nicky Shorey, Pavel Pogrebnyak, Danny Guthrie, Garath McCleary na Pierce Sweeney.

Reading hawataki kuishia hapo na kocha wao Brian McDermott anataka kusajili tena anagalau wachezaji wawili zaidi kabla ligi haijaanza.

Mchezaji anyefuatia sasa ni Defoe ambaye amekuwa na wakati mgumu klabuni kwake Tottenham. Defoe anataka kuongea na kocha wake mpya AVB kabla ya kufanya maamuzi mengine ambako Reading tayari wameshatoa ada ya paundi mil 5 kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo kwa Tottenham.

Mchezaji huyo ambaye ana miaka 29 ameweza fanikiwa kufunga magoli 195 katika mechi 470 ambazo amecheza katika ligi hiyo ya Uingereza na Reading wanataka kumpa nafasi ya kuweza ongeza idadi hiyo ya magoli kwa kumuhakikishika nafasi za kucheza kila mechi.

Chanzo: Metro

Advertisements

Posted on July 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: