Shelvey asaini mkataba mpya Liverpool..


Jonjo Shelvey..

Jonjo Shelvey mwenye umri wa miaka 20 amesaini mkataba mpya na timu yake ya Liverpool na kumpelekea kuweka nia ya kuhakikisha anakuwa chaguo la kwanza la Rodgers.

Jonjo.akianguka saini

Mchezaji huyo ambaye ameanzia mpira wake timu ya Charlton Athletic, alikuwa akicheza mara chache chache katika kikosi cha kwanza lakini baada ya kutolewa kwa mkopo Blackpool msimu uliopita aliweza kung’ara na kuonyesha uwezo wake jinsi ulivyo mkubwa.

Uwezo aliouonyesha akiwa Blackpool ndio sababu iliyochangia apewe mkataba  na kudhihirisha ya kuwa yupo katika mipango ya Rodgers.

Jonjo Shelvey

“Ninafuraha sana. Msimu uliopita nlikuwa natamani sana kusaini mkataba mpya na sasa nimefanikiwa kuusaini kilichobaki nikuonesha uwezo wangu uwanjani.
Ni furaha kwangu kujua kuwa nipo katika mipango ya kocha kwani kocha huyu (Rodgers) anastaili yake ya uchezaji na ninaimani kwangu staili hiyo ntaendana nayo sana.
Kwenda kwangu Blackpool kulinisaidia sana. Kulinipa uzoefu na kunifanya nkarudi mchezaji bora zaidi.
Uwezo wangu umeongezeka sasa maana ukiwa unafanya mazoezi na mtu kama Steven Gerrard lazima utajifunza mengi.
Kuna mengi yakujifunza na ntaendelea kujifunza. Ntajitahidi niwe naenda Gym ili niweze kuwa na nguvu na pia ntaongea na kocha wapi na nini nijifunze ili niweze imarika zaidi.
Nataka kucheza katika timu ya kwanza kila siku,najua swala hilo ni gumu ila ntajitahidi kadri a uwezo wangu.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Gerrard mpya huyoo

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: