Mancini asaini mkataba mpya na kuwazidi Wenger na Fergie kwa mshahara…


Roberto Mancini

Mancini amesaini mkataba mpya Man City wa paundi mill 37.5 na kumfanya kuwa kocha anayelipwa pesa nyingi kuliko kocha yeyote katika ligi ya Uingereza.

Sir Alex Ferguson apitwaa mshahara

Mancini atakuwa anapokea paundi mill 7.5 kwa mwaka kwa muda wa miaka mitano kwani mkataba huo ni wa miaka mitano.

Mkataba huo unakuja baada ya kuweza kuifanya Man City kuweza kutwaa taji la Uingereza msimu uliopita.

Austria

Mancini kwa sasa yupo Austria na timu yake kwa ajili ya mechi za majaribio.
“Ninafuraha kuweza pewa nafasi ya kuisaidia Man City katika kipindi kingine cha miaka mitano zaidi.
Man City ni klabu nzuri sana kuanzia kwa wamiliki mpaka kwa mashabiki”.

Ingawa amekuwa kocha anayelipwa fedha nyingi Uingereza lakini bado hampati Mourinho ambaye analipwa paundi mill 10 kwa mwaka.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on July 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: