Liverpool kumsajili Dempsey kabla hawajaenda Marekani.


Dempsey

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers anataka kumsajili Dempsey haraka iwezekanavyo kabla timu yake haijaenda Marekani kwa ajili ya safari za mechi za majaribio hazijaanza.

Rodgers anataka kusajili wachezaji wasiopungua wawili na mmoja wao akiwa ni Dempsey. Fulham wapo tayari kumuuza mshambuliaji huyo na pia wapo tayari kubadilishana hata wachezaji na Liverpool ili usajili huo wa Dempsey ufanyike.

Taarifa za karibu zaidi zasema usajili huo unatarajiwa kufanyika Jumatano hii.

Chanzo: The Mirror

Advertisements

Posted on July 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: