Chelsea wampiku AVB kwa kumsajili mbrazil Oscar..


Oscar.(kushoto)

Chelsea wamesajili tena lulu baada ya kufanikiwa kumnyakuwa kinda anayechipukia Brazil Oscar.

Ingawaje walishatumia paundi mill 42 kwa ajili ya kuwanasa Marko Marin na Eden Hazard lakini bado Abramovich anaonesha anataka kusuka kikosi hicho upyaa kwa kumsajili mchezaji mwengine anayetokea Brazil.

Chelsea wamemsajili Kiungo huyo mchezeshaji na kuweza kumzidi kete bosi wao wa zamani Villas-Boas ambaye naye pia alikuwa anamtaka mchezaji huyo atue klabuni kwake Tottenham.

Tottenham ndio inasemekana walikuwa wakwanza kupeleka ofa yao ambayo inakadiriwa kuwa paundi mill 11 wiki iliyopita lakini Chelsea wakatoa fedha zaidi na kuweza mnyang’aya kocha wao wa zamani mchezaji huyo wa Kibrazil.

Mchezaji huyo kwa sasa yupo na kikosi cha Brazil ambacho kinajiandaa na mashindano ya Olympic. Kuja kwake Chelsea kutaweza muunganisha na wabrazil wenzake wakina Ramirez, David Luiz na kinda Lucas Piazon.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: