Arsenal yapigana vikumbo na Barca kwa Capoue..


Capoue

Arsenal na Barcelona wanashindana kupata saini ya mchezaji wa Toulouse Etienne Capoue ambaye anapaikana kwa ada ya paundi mill 9.5

habari zaidi zasema wiki iliyopita Wenger alikuwa anajiweka sawa kwa ajili ya kumsajili kiungo huyo baada ya kubadilisha mawazo ya kutaka kumsajili M’Vila.

Habari pia toka Hispania zasema kocha mpya wa Barcelona Tito amemsema Capoue na M’Vila kama wachezaji ambao ndio watafaa kuziba pengo la Keita ambaye amemaliza mkataba wake na klabu hiyo na kuamua kujiunga na klabu ya Uchina iitwayo Dalian Aerbin.

Tito anapesa ambazo amepewa kwa ajili ya kufanya usajili hivyo kuna uwezekano mkubwa akimsajili Capoue ambaye anauzwa kwa ada ya paundi mill 6.5

Chanzo: talkSPORT

Advertisements

Posted on July 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: