Kalou ajiunga na Lille ya Ufaransa..


Salomon Kalou amesaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Lille ya Ufaransa.

Salomon Kalou

Kalou ambaye ameshinda kombe la Champions League na FA mwaka huu wa 2012 akiwa na Chelsea amejiunga na Lille akiwa kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kuisha Stamford Bridge.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alisema, “Mkakati nliyoambiwa hapa Lille inavutia na ni mizuri sana. Nimekuja hapa kucheza mpira kwa furaha na kufurahia na mashabiki wa hapa”.

Chanzo: The Sun

Advertisements

Posted on July 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: