Iniesta avuta Kimwana. Messi na Etoo wakihudhuria.


milele pamoja.

Umekuwa ni mwezi wa nuru kwa Andres Iniesta.

milele pamoja

 

Euro 2012

Wiki tu iliyopita aliisaidia timu yake ya Hispania kutwaa taji la Euro 2012 kwa kuwatandika Italia mabao 4-0 na wiki moja mbele amesherehekea harusi yake dhidi ya kimwana Anna Ortiz katika kasiri la Tamarit karibia Tarragona.

wageni waalikwa

wageni waalikwa

Miongoni mwa watu maarufu waliokuwepo katika harusi hiyo ni mchezaji mwenzake wa Barcelona Lionel Messi, pia mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Samuel Eto’o.

milele

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: