AC Milan wamtaka Andy Carroll kwa mkopo….


Carroll..

Jumatano iliyopita taarifa toka Italia zilisema ya kuwa Pier Silvio Berlusconi ambaye ni mtoto wa Raisi wa AC Milan Silvio alivutiwa na uchezaji wa Andy Carroll katika mashindano ya Euro 2012.

Taarifa zaidi toka Italia zasema Silvio anataka kufuata ushauri wa mwanae na kufanya kila liwezekananlo ili kumleta Carroll San Siro hii yote ni kutokana na kwamba Carroll kuna uwezekano mkubwa asiweze pata nafasi kutokana na uchezaji wake kuwa tofauti na staili ya Kocha wa Liverpool.

Taarifa zaidi zasema kutokana na kiasi cha fedha Carroll anachuzwa itakuwa ngumu kwa Milan kumnunua kutokana na Uchumi kuyumba nchini Italia na hivyo kupelekea Carroll kutua klabuni hapo kwa mkataba wa mkopo tu. Ila kama Robinho akiuzwa basi Carroll anaweza nunuliwa moja kwa moja.

Chanzo: The Sun

Advertisements

Posted on July 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: