Lassana Diarra kuelekea Tottenham..?


Lassana Diarra

Tottenham wanajiandaa kumsajili kiungo Lassana Diarra baada ya Real Madrid kumwambia Diarra anaruhusiwa kuondoka Madrid.

Diarra ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea, Arsenal na Portsmouth alihamia Madrid kwa ada ya paundi mill 20 mwaka 2009 lakini akiwa Madrid nafasi za kucheza zimekuwa finywu kila kukicha.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amebakiza miezi 12 tu katika mkataba wake aliokuwa nao na Madrid na maongezi ya kuongeza mkataba mwingine yamegonga ukuta na hivyo kupelekea klabu ya zingine kumtolea macho na kutaka kumsajili mchezaji huyo.

Madrid wapo tayari kupokea fedha kuanzia paundi mill 4 kwa ajili ya Diarra. Swala hilo litamfaa sana Vill-Boas kwani anatarajia kufanya usajili wa wachezaji 6 kutokana na paundi mill 40 alizopewa.

Chanzo: Metro

Advertisements

Posted on July 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: