Benfica wamtaka mchezaji wa Man United..


 Anderson

Benfica wanajiandaa kumsajili kiungo wa Man United Anderson.

Taarifa kupitia talkSPORT zimesema ya kuwa klabu hiyo ya Ureno inajiandaa kumuuza mchezaji wao Axel Witsel na klabu za Chelsea na United ndio zipo mstari wa mbele kutaka msajili kiungo huyo.

Kupitia taarifa toka magazeti ya Ureno. Kocha wa Benfica Jorge Jesus amemsema Anderson ambaye alishawahi chezea Porto kama ndio mchezaji atakayeziba pengo la Witsel.

Anderson ambaye alitua United mwaka 2007 na kufanikiwa kucheza mechi 76 ndiye aliyekuwa akidhaniwa kuwa angekuja chukua mikoba ya kiungo mkongwe Paul Scholes lakini majeruhi ndio yamechangia kwa Anderson kutong’aa klabuni hapo.

Chanzo: talkSPORT

Advertisements

Posted on July 5, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: