Manchester United na Chelsea zamtaka Witsel..


WITSEL

Man Utd na Chelsea zipo vitani kumgombania mchezaji wa Benfica Axel Witsel. Hii ni baada ya Benfica kutangaza ya kuwa wapo tayari kumuuza mchezaji wao huyo.

Mchezaji huyo alijiunga na Benfica msimu uliopita akitokea Standard Liege kwa ada ya paundi mil 6.3 na sasa Benfica wanamuuza kwa aday isiyopungua paundi mill 20.

Chanzo: Express

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: