Maicon anakaribia jiunga na Chelsea..


Maicon

Chelsea wanakaribia kumsajili beki huyo wa kushoto wa Inter Milan (Maicon) kwa ada ya paundi mill 6, huku msemaji wa mchezaji huyo akitarajiwa kutua London wiki hii kwa ajili ya kumalizia maongezi na Chelsea.

Chelsea wanahitajika kusajili beki wa kulia baada ya kuamua kumuweka Paulo Ferreira Sokoni huku Jose Bosingwa akiachiliwa kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kuisha.

Maicon mwenye umri wa miaka 30 amekuwa akisifika kama beki wa kulia bora duniani kwa mda mrefu sasa na sasa anatarajiwa kuja kudhihirisha hivyo katika ligi ya Uingereza akiwa na Chelsea.
Anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu, huku akiwa anapokea mshahara wa paundi 80,000 kwa wiki.

Chanzo: Metro 

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. I simply couldn’t go away your website prior to suggesting that I actually loved the usual information an individual provide in your visitors? Is gonna be back often to investigate cross-check new posts

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: