Lucio ajiunga na Juventus..


Lucio

Juventus wanakaribia kukamilisha usajili Beki mkongwe Lucio ambaye kwa sasa yasemekana anafanya vipimo ili kukamilisha usajili huo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ameondoka Inter Milan wiki iliyopita baada ya mkataba wake kuisha na kutopewa mkataba mwingine mpya.

Taarifa toka Website ya Juventus inasema ya kuwa “Lucio yupo katika vipimo katika Kliniki ya Fornaca di Sessant and Instituto di Medicina dello ambazo ni kliniki za kimichezo.

Malaga ilisemekana walikaribia msajili mchezaji huyo lakini Juve ndio wameshinda mbio hizo.
Lucio mbali na kucheza nchini Italia ameshawah pia cheza Ujerumani akiwa na Bayer Leverkusen na Bayern Munich pia.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: