Gyan aihama Sunderland kimoja..


Asamoah Gyan

Asamoah Gyan anatarajiwa ihama klabu yake ya Sunderland moja kwa moja na kujiunga na klabu ya Uarabuni kwa ada ya paundi mill 7.

Mchezaji huyo wa Ghana mwenye umri wa miaka 26 anatarajia kukamilisha mkataba wa miaka mitatu katika mda wa masaa 48 yajayo na klabu hiyo ya Uarabuni. Mkataba huo utamfanya apokee jumla ya paundi mill 20.

Gyan alijiunga na Klabu hiyo ya Uarabuni kwa mkopo miezi kumi iliyopita akitokea Sunderland kwa ada ya paundi mill 6. Kwa hiyo jumla ya fedha ambayo itatumika kumpata Gyan ni paundi mill 13.

Chanzo: The Sun

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: