Ferguson: Pogba Hana ADABU….


Pogba

Timu ya Manchester United imethibitisha ya kuwa Paul Pogba amekamilisha uhamisha wake wa kwenda Juventus.

Pogba amekuwa akihusishwa na kuihama Man Utd kwa mda mrefu na sasa hatimaye ameondoka na kujiunga na Juventus.

Man utd walikuwa wanataka kuendelea kumbakiza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 klabuni hapo kwa kumzawadia mkataba mpya lakini Pogba alikataa na kuamua kujiunga na Juventus.

Pogba alijiunga na United akitokea Le Havre. Amefanikiwa cheza mechi 7 katika kikosi cha kwanza cha United kabla hajaamua kuikimbia klabu hiyo.

Ferguson amemsema kijana huyo kuwa Hana Adabu kabisaa.
“Paul Pogba alisaini mkataba na Juventus zamani sana, Inasikitisha na kwa muono wangu naona hakuonyesha heshima kwa klabu hii hata kidogo. Kiukweli kama hivi ndivyo walivyo wote bora wasije Man Utd kabisa”

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: