Everton kumnasa Cardozo…?


Oscar Cardozo (kulia)

Everton wamepewa ruhusa ya kutoa fedha kwa ajili ya kumnasa Oscar Cardozo anayechezea Benfica. Cardozo anapatikana kwa ada ya paundi mill 16,walihabarishwa Everton.

Habari toka Ureno zasema msemaji wa mchezaji huyo, Pedro Aldave alikutana na raisi wa Benfica Luis Filipe Vieira kwa ajili ya maongezi kuhusu Cardozo na kukubaliana kama klabu yoyote ikifikia kiasi hicho cha paundi mill 16 basi atauzwa Cardozo.

Kocha wa Everton David Moyes anatarajiwa kumsajili mchezaji huyo mapema iwezekanavyo kwani klabu za Fenerbache, Galatasary,PSG na nyinginezo toka ligi ya Uingereza zamfuatilia pia mchezaji huyo.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: