AC Milan wamtaka BIG ANDY CARROLL…


Carroll

Pier Silvio Berlusconi,mtoto wa mmiliki wa AC Milan Silvio Berlusconi  ambaye ndio Raisi wa Mediaset, kampuni ambayo inaimiliki AC Milan na pia ndiyo mshauri wa timu hiyo kuhusiana na maswala ya Usajili wa wachezaji.

Mtoto huyo wa Bosi amemsema mchezaji wa Uingereza na Liverpool Andy Carroll kama ndio mchezaji AC Milan wanapaswa kumsajili msimu huu.

Carroll..

“Hiki ni kipindi kipya na mwanzo mpya kwa Milan, Tutaendelea kusajili wachezaji wenye umri mdogo huku tukiendeleza Jadi yetu. Mchezaji wa kumsajili kwa sasa mie naona ni Andy Carroll.
Kusema ukweli baada ya kuona alivyojengeka na goli lake alilofunga katika mashindano ya Euro ninataka Carroll atuwe Milan”.

Chanzo: The Sun

Advertisements

Posted on July 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: