Rodgers: Suarez haondoki..


Suarez

Kocha wa Liverpool ,Brendan Rodgers anatarajia kumsainisha mkataba mpya mshambuliaji wake Suarez ili kufutilia mbali uvumi wa Suarez kutaka kuhamia Juventus.

Habari toka Italia zadai ya kuwa mabingwa wa ligi hiyo ya Seria A Juventus wanataka toa fedha kwa Liverpool ili kuweza msajili mshambuliaji huyo.

Kocha wa Liverpool nae hataki kumpoteza mchezaji wake huyo na kuamua kuongea na mchezaji wake huyo na sasa anauhakika Suarez haondoki na kuwa kuna uwezekano mkubwa akasaini mkataba mpya na Liverpool.

“Nimeongea maongezi mazuri sana na Luis. Yeye (Suarez) anashauku kubwa ya kurudi na kuanza msimu mpya akiwa na Liverpool.
Nataka kufanya usajili wa wachezaji watatu mpaka wanne ambao wataongeza nguvu zaidi katika timu. Ingawa kuwapata wachezaji kama hao ni kazi ngumu” alisema Rodgers.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: