Ni full shangwe Hispania.


Full shangwee..

Baada ya Kushinda Euro 2012. Timu ya Hispania imepata ukaribisho mkubwa sana ilipotua nyumbani. Watu walijaa kila kona kuwalaki mabingwa hao.

Wakitua nyumbani

Wakitua nyumbani

Wakitua nyumbani

“Nashindwa hata kusema ni kiasi gani tulivyo na furaha sasa hivi” alisema Fabregas katika mtandao wa Twitter.

Ni shangwe tuu..

Ni shangwe tuu..

Ni shangwe tuu..

Katika mahojiano baadae baada ya kuwasili Hispania Fabregas alisema, “Kila mtu alidhania hatutoweza shinda kombe lolote baada ya kushinda kombe la Dunia na kombe la Euro lakini walikuwa hawajua kinachokuja kwani hili hapa kombe jengine. Hakuna timu iliyowahi shinda makombe matatu mfululizo. Ni bahati kubwa kuweza kufanikiwa hilo na natumai tutaongeza vikombe zaidi”.

ukumbini

ukumbini

mashabiki

Picha na Mfalme wa Hispania Juan Carlos katika kasiri la La Zarzuela Palace

Fabregas alicheza karibia mechi zote za Hispania, huku akitumika kama mshambuliaji kivuli. “Nimashindano yangu ya kwanza kwangu mie kuweza cheza kama namba 9, ilikuwa ni ngumu mwanzoni lakini mwishowe nlikuja kuzoea” alisema Fabregas.

Pepe Reina, Santiago Cazorla, Sergio Ramos na Xabi Alonso

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: