Lavezzi atua PSG.


Lavezzi

Paris St Germain wamekamilisha usajili wa mchezaji wa Napoli Ezequiel Lavezzi na kumpatia mkataba wa miaka minne.

Mchezaji huyo mwenye asili ya Uargentina alifanyiwa vipimo Jumatatu kabla hajasaini mkataba wake huo wa miaka minne.

“Jumatatu ya Leo, Ezequiel Lavezzi amesajiliwa rasmi kama mchezaji wa PSG akitokea Napoli kwa mkataba wa miaka minne” ilitangazwa katika mtandao wa klabu ya PSG.

Mchezaji huyo mpya wa PSG atapewa namba 11 mgongoni.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: