Juve wasajili wawili kwa mpigo…


Kwadwo Asamoah

Timu ya Juventus ya Italia imethibitisha ya kuwa imewanasa wachezaji wawili wa Udinese Kwadwo Asamoah na Mauricio Isla.

Juve wamekubaliana katika maongezi na mahasimu wao Udinese na kufanikiwa kuweza wapata Kwadwo kwa ada ya paundi mill 18 na Winga Isla kwa ada ya paundi mill 18.8.

Asamoah mwenye umri wa miaka 23 amecheza mechi 100 akiwa na Udinese tangia alipohamia klabuni hapo mwaka 2008 hali ya kuwa Isla mwenye umri wa miaka 24 amekuwa kitumika kama kiraka katika nafasi tofautitoauti tangia alipohamia Udinese mwaka 2007.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: