Fabio ajiunga na QPR kwa mkopo.


Fabio

Mchezaji wa Man Utd ,Fabio da Silva atacheza msimu ujao kwa mkopo akiwa na klabu ya QPR.

Mbrazili huyo anayechezea nafasi ya beki wa pembeni ameweza cheza mechi 53 kwa Manchester lakini bado hajaweza kuwa chaguo la kwanza la Sir Alex.

Fabio mwenye umri wa miaka 21 alijiunga na Man Utd pamoja na kaka yake Rafael (ambaye amesaini mkataba mpya wa miaka minne) wakitokea Fluminense ya Brazil mwaka 2008.

Chanzo: Skysports 

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: