Demba Ba kutua Liverpool..?


Demba Ba

Kocha wa Liverpool ,Brendan Rodgers yupo katika mkakati wa kutoa paundi mill 7 kwa ajili ya kumpata Ba.

Mchezaji huyo wa Newcastle anapatikana kwa bei hiyo ya paindi mill 7 mpaka ifikapo tarehe 31 ya mwezi wa saba ndio bei itapanda, hii ni kutokana na mkataba wake unavyosema.

Ba alifanikiwa kufunga magoli 15 msimu uliopita.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: