Blackburn wamsajili Gomez..


Habari toka Sky Sports zasema yakuwa Mshambuliaji wa zaman wa timu ya taifa ya Ureno Nuno Gomez ametua Uingereza tayari kwa ajili ya kufanya vipimo ili kuweza jiunga na klabu ya Blackburn Rovers.

Gomez mwenye umri wa miaka 36 ni mchezaj huru baada ya Kuondoka klabu yake ya Braga.

Atajiunga na Blackburn kwa mkataba wa miaka miwili iwapo kama atavuka vipimo.

Rovers tayar wameshamsajili Danny Murphy na Leon Best katika usajili huu wa kipindi cha kiangazi na inasemekana wanataka sajili wachezaji zaidi toka Ureno. Wachezaji hao wengine ni Fabio Nunes mwenye umri wa miaka 19 ambaye anachezea Portimonense na Adrien silva kiungo wa Sporting Lisbon.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: