Bayern wamtaka Khedira..


Schweinsteiger na Sami Khedira

Bayern wanataka kumsajili mchezaji wa Real Madrid Sami Khedira lakini Madrid wamesema watamuachilia Khedira iwapo tu watapewa Bastian Schweinsteiger.

Khedira mwenye umri wa miaka 25 alihamia Madrid akitokea Stuttgart mwaka 2010 na amekuwa mchezaji tegeo wa Madrid huku akiwa amecheza mechi 42 katika mashindano yote akiwa na Madrid msimu huu ulioisha.

Bayern wanamtaka Khedira na watamchezesha nafasi anayoipenda ya kiungo mshambuliaji tofauti na nafasi anayoicheza Madrid ya kiungo mkabaji.

Chanzo: ESPN

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment