AVB: Nashauku ya kuanza kazi


Andre Villas-Boas

AVB karudi katika ligi lakini sio Chelsea bali ni mahasimu wao Tottenham.

Villas-Boas

Miezi minne tokea alipofukuzwa na Chelsea, kocha huyo sasa ataanza maisha mapya akiwa na Tottenham.
Boas alitua jijini London jumatatu usiku ili kukamilisha mikataba na atatangazwa rasmi kama kocha wa Spurs wiki ijayo.

Andre Villas-Boas .

AVB .

Boas mwenye umri wa miaka 34 ambaye amekuwa kocha wa Spurs baada ya Redknapp kufukuzwa mwezi uliopita, amesaini mkataba wa miaka mitatu na atahamia Spurs akiwa na jopo lake la watu waufundi wakiwemo Jose Mario Rocha na Daniel Sousa.

” Hotspurs ni timu nzuri na yenye historia kubwa bila kuwasahau mashabiki wake. Ninafuraha ya kuwa katika klabu hii”. Alisema Villas-Boas.

Aliendela kwa kusema, “Kwa kikosi kilichopo hapa Spurs ni kikosi kizuri ambacho kocha yoyote angependa kukifundisha, natumai ntasaidia katika kuleta mafanikio”.

Modric.

Sigurdsson

Jan Vertonghen

AVB anakaribishwa na kibarua kigumu cha kumshawishi Modric abakie Spurs na pia kuhakikisha anasajili wachezaji wengine kama kina Gylfi Sigurdsson ambaye ameamua kujiunga na Spurs badala ya Liverpool, Jan Vertonghen beki wa Ajax ambaye amekuwa akifuatiliwa kwa karibu sana na Spurs.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: