Wenger: Sitaki Ufaransa na Siondoki Arsenal..


Arsene Wenger

Kocha wa Timu ya Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza ya kuwa hana mpango wa kuiacha Arsenal na kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Ufaransa baada ya Laurent Blanc kuachia ngazi.

Wenger amehusishwa na kuwa kocha wa Ufaransa baada ya kocha Laurent Blanc kuachia madaraka kutokana na timu hiyo kuboronga katika mashindano ya Euro 2012.

Laurent Blanc

Ufaransa walidroo na Uingereza kisha kuwafunga Ukraine na mwishowe kufungwa na Sweden katika hatua ya makundi.
Walitolewa katika mashindano hayo na Hispania katika hatua ya Robo fainali na kupelekea kocha Blanc kuachia ngazi.

” Kuna majina mengi yanahusishwa na kuchukua nafasi hiyo ya Ukocha wa Ufaransa, lakini mie ntakuwa nipo busy sana na Arsenal na pia nimebakiza miaka miwili na klabu hiyo” Alisema Wenger.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: