Spurs kumsajili Dzagoev..


Dzagoev

Baba wa mchezaji Alan Dzagoev amesema ya kuwa Tottenham wanataka kumsajili mtoto wake kutokea CSKA Moscow na ndo inaweza ikawa usajili wa kwanza wa AVB.

AVB

Kocha huyo wa zamani wa Chelsea inatarajiwa kutangazwa rasmi wiki hii huku Dzagoev nae akiwa njiani kuja klabuni hapo.

Kiungo huyo mchezeshaji alikuwa miongoni mwa wachezaji ambao waliifanya Russia kung’aa katika hatua ya makundi ya Euro 2012 ingawaje kwa bahati mbaya hawakufanikiwa kuvuka hatua hiyo ya makundi.
Huku Dzagoev akirudi nyumbani na jumla ya magoli 3.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: