PSG wamtaka Terry..


John Terry

Paris Saint-Germain wanajiandaa kutoa paundi mil 8 ili kuweza mpata nahodha wa Chelsea John Terry.

PSG ambayo inafundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti wanamfukuzia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31.

Klabu hiyo ya kitajiri inayomilikiwa na waqatar haina tatizo la hela kwa hiyo swala la kumlipa Terry mshahara anaopokea Chelsea wa paundi 160,000 kwa wiki halitokuwa tatizo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: