Hispania 4 v Italia 0.


 

Hispania

Hispania wametengeneza historia kwa kuwafunga Italia na kuweza fanikiwa tetea taji lao kama miamba ya Euro.

Silva

Alba

Torres

Mata

Magoli yaliyofungwa na David Silva, Jordi Alba, Fernando Torres na Juan Mata yalitosha mtoa Balotelli machozi na kuweza wafanya Hispania kuwa mabingwa mara mbili mfululizo wa kombe hilo na mabingwa mara tatu wa mashindano makubwa mfululizo (Kombe la dunia na makombe mawili ya Euro).

Balotelli hakuna pakupita….!

Walimiki mpira huku wakiwa na kasi ya ajabu sana mpaka kuweza mfanya Balotelli kukimbilia nje ya uwanja baada ya filimbi ya mwisho kupulizwa.
Hii yote ni kutokana na Italia kuwa pungufu baada ya Thiago Motta kuumia na kuwanvunja wachezaji kumi (10) waliobakia uwanjani nguvu ya kuweza fanya mashambulizi tena.

Familia ya Balotelli ikishuhudia kichapo hicho.

Wachezaji wanne Iker Casillas, Sergio Ramos, Andre Iniesta na Xavi wa Hispania ndio wameweza iwakilisha timu hiyo mwanzo-mwisho katika mashindano yote matatu yaliofanyika Vienna, Johannesburg na hii la Euro 2012 lililofanyika Ukraine.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: