Everton wamkaribia Pranjic..


Danijel Pranjic (kushoto)

Daniel Pranjic ameonesha nia ya kujiunga na Everton baada ya Kuondoka Bayern Munich akiwa kama mchezaji huru.

Kocha wa Everton David Moyes ambaye anatarajia kumpoteza Leighton Baines kwa Manchester United. Alikuwa katika mashindano ya Euro 2012 kwa ajili ya kumuangalia Pranjic akicheza dhidi ya Hispania na anatarajia kumnunua mchezaji huyo pindi atakaporudi toka likizo.

“Nimefurahi sana kwa kocha mkubwa kama Moyes kutaka kunisajili mie na nipo tayari kucheza katika  klabu ya Evrton kama watanitaka. Nilikaribia kuhamia Everton katika kipindi cha Januari lakini Bayern walizuia usajili huo kufanyika. Siwezi sema mambo yote yapo sawa sasa ila wiki ijayo ndio kila kitu kitaeleweka. Ninashahuku ya kucheza na kuwafurahisha mashabiki tena kwani wakati nipo Bayern mda mwingi nlikuwa benchi”. Alisema Pranjic

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on July 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: