Wilshere kuukosa mwanzo wa msimu..


Jack Wilshere

Jack Wilshere ataukosa mwanzo wa msimu ujao na pia inaonesha hatoweza cheza mechi mbili za mwanzo za Uingereza za kufuzu kombe la dunia.

Mchezaji huyo wa Arsenal ndio mtu aliyekuwa akitarajiwa kuwapa Uingereza ubunifu katika safu ya kiungo katika michezo ya Euro 2012 lakini bahati mbaya majeruhi ndio yamemkosesha kucheza mashindano hayo na kumfanya kuwa nje ya uwanja mpaka mwezi wa tisa (9).

Chanzo: Dailymirror 

Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: