Tottenham wamtaka Walcott..


WALCOTT

Anayetaka kuwa kocha mpya wa Tottenham Andre Villas-Boas yupo tayari kutoa ofa kwa Arsenal ili kuweza mpata Theo Walcott.

Mreno huyo anatarajia kuanza mwanzo mpya akiwa na Tottenham na kusahau wakati mgumu alioupata akiwa na Chelsea. Tayari ameshaandaa listi ya wachezaji anao wataka.

Tayari Glyfi Sigurdsson inasemekana anaelekea kujiunga na klabu hiyo ya London, huku Modric nae akitaka kuondoka. AVB anamuhusudu sana Theo na alitaka hata mnunua wakati akiwa Chelsea.

Walcott amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake aliokuwa nao na Arsenal na AVB hatosita kufanya kila liwezekanalo ili kuweza mpaka swala huyo wa Emirates.

Chanzo: Express

Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: