Seedorf ajiunga na Botafogo ya Brazil..


Seedorf

Mchezaji wa zamani wa Uholanzi Clarence Seedorf amejiunga na klabu ya Botafogo ya Brazil kwa mkataba wa miaka miwili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ambaye ameihama klabu yake ya AC Milan baada ya kukaa nayo kwa takribani miaka kumi na kuamua kujiunga na klabu ya Botafogo ya Brazil.

Klabu hiyo imetangaza ya kuwa ” Botafago imekubaliana kusaini mkataba na kiungo wa Uholanzi Clarence Seedorf mwenye umri wa miaka 36.
Seedorf amesaini mkataba wa miaka miwili na Botafogo. Ni mkataba mkubwa sana kwa mchezaji wa nje kuweza pewa na klabu ya Brazil”.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: