Liverpool wajiandaa kumchukua Steven Davis..


Steven Davis

Kocha wa Liverpool ,Rodgers anataka kumchukua kiungo toka Rangers ,Steven Davis baada ya kiungo huyo kutangaza nia yake ya kutaka kuihama klabu hiyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ambaye ameshawahi zichezea klabu za Aston Villa na Fulham nimiongoni mwa wachezaji wa Rangers ambao wamekataa kuhamisha mikataba yao toka Rangers kwenda kwa kampuni ya Charles Green na kupelekea kuwa mchezaji huru.

Kiungo huyo mwenye uwezo wa kipekee amekuwa mhimili wa Rangers tokea mwaka 2008 kwa kuweza cheza mechi 200 na kufanikiwa kutwaa mataji matatu ya ligi ya Scotland akiwa na timu hiyo ya Rangers.

Wachezaji wengi wameshaihama Rangers wakiwemo Steven Whittaker aliyejiunga na Norwich, Kyle Lafferty aliyejiunga na Sion na Jamie Ness anayetarajia kujiunga na Stoke.

Davis alisema, ” Nina umri wa miaka 27 na ninahitaji kucheza katika timu iliyo katika Level ya Juu”
uhamisho wa kwenda Liverpool ni wazi utakuwa mgumu kwa Davis kuukataa.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: