LA Galaxy wamfuata Lampard…


Frank Lampard

LA Galaxy wanataka kutoa ofa kwa Chelsea ili waweze mpata kiungo wao Frank Lampard.

Klabu hiyo ya Marekani inataka toa ofa ambayo itamfanya Lampard aweze kubali kuihama Chelsea na kujiunga nao. Lampard amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na Chelsea ambao unamfanya apokee paundi 130,000 kwa wiki.

Kuihama Chelsea ni swala ambalo kwamwe Lampard halitokuwa rahisi kwake kwani Chelsea ni kama nyumbani kwa Lampard. Alihamia klabuni hapo tangu mwaka 2001 na kufanikiwa kushinda Champions League, ligi kuu mara 3, FA mara 4 na Carling mara 2.

Chelsea kamwe hawatotaka mpoteza mchezaji kama Lampard lakini kama mwenyewe akitaka kuondoka basi itakuwa ni bora kwani Lampard anapokea mshahara mkubwa na kuondoka kwake ni nafuu kwa Chelsea.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: