Euro 2012 Fainali: Spain v Italy


Fainali

Euro 2012 Fainali:
Spain v Italy

Tunahesabu masaa tu mpaka  utakapoanza mtanange wa Euro 2012.

mashabiki wa spain

mashabiki wa Italy

Watu tayari wameshaanza sogea eneo latukio katika uwanja wa NSK Olimpijs’kyj-Kyiv katika jiji la Kiev. Refa atakaye chezesha mchezo huo wa leo ni Pedro Proenca.

Sara Carbonero, Mchumba wa Iker Casillas ambaye pia ni mtangazaji wa Television akiwa uwanjani.

Wachezaji wanaotarajiwa kuanza leo kwa timu zote ni:

SPAIN

Casillas
Arbeloa, Pique, Ramos, Alba
Xavi, Busquets, Alonso
Silva, Fabregas, Iniesta

ITALY

Buffon
Abate, Barzagli, Chiellini, Balzaretti
Marchisio, Pirlo, De Rossi
Montolivo
Balotelli, Cassano


Advertisements

Posted on July 1, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: