Manchester United wahamia kwa Baines..


Baines £20m

Man Utd wanaongeza nguvu katika usajili wa beki wa kushoto wa Leighton Baines.

Sir Alex Ferguson amemsema Baines kuwa ni miongoni mwa watu anaotaka kuwasajili msimu huu wa kiangazi na anatarajia kukamilisha swala hilo mapema iwezekanavyo.

Baines anauzwa na Everton kwa ada ya paundi mill 20 lakini United wanagoma toa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kumpata Baines na badala yake wanataka toa 15.

Fergusona anataka ampate Baines kabla ya julai 16 siku ambayo United wataanza mechi zao za majaribio huko Africa Kusini na Uchina.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on June 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: