Liverpool na Tottenham zamgombania Afellay..


Ibrahim Afellay

Ibrahim Afellay anafanya maongezi na klabu yake ya Barcelona na panauwezekano mkubwa akawa yupo mbioni kuihama klabu hiyo ya Cataluna, Timu za Liverpool na Tottenham zinafuatilia kwa karibu maongezi hayo ili ziweze mnyakuwa mchezaji huyo.

Afellay anataka kuongea na Kocha mpya wa Barca Tito Vilanova wiki ijayo kuhusiana na mustakbali wa maisha yake klabuni hapo.

Majeruhi ndio yaliyokuwa yakimuweka nje mchezaji huyo na kumfanya kufanikiwa kucheza mechi 20 tu katika ligi hiyo ya Hispania tangia amehamia hapo.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on June 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: