Chelsea wajiandaa kuipiku Madrid kwa Modric..


Modric.

Klabu ya Chelsea inajiandaa kuipiku klabu ya Real Madrid kwa kutoa fedha nyingi zaidi yao ili kuweza mpata kiungo Luka Modric. Ada ya Chelsea yasemekana kuwa ni paundi mill 36.

Raisi wa klabu hiyo Roman Abramovich ameahidi kufanaya kila liwezekanalo ili kumpata kiungo huyo ili aweze chukua namba ya Lampard ambaye umri umekwenda.

Modric alikuwa tayari ameshaonesha nia ya kujiunga na Real Madrid lakini ambacho kinaweza sitisha ndoto hiyo ya kujiunga na miamba hiyo ya Hispania ni kiasi cha fedha kilichotolewa na Madrid. Madrid wametoa paundi mill 20 na huku Chelsea wakitoa paundi mill 36. Panauwezekano mkubwa kabisa Modric upepo ukabadilika na akaelekea panapo Chelsea.

Chanzo: Express

Advertisements

Posted on June 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: