Yakubu aihama Blackburn na kujiunga na Guangzhou R&F ya Uchina.


Yakubu

Mchezaji mwenye asili ya Nigeria Yakubu Aiyegbeni amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya uchina ya Guangzhou R&F.

Mchezaji huyo ameshafanya vipimo vya afya na kupita. Hii ni baada ya kuruhusiwa kuhama na klabu yake ya Blackburn.

“Ni Nakala nyingine mpya katika maisha yangu baada ya kucheza Israel na Uingereza. Tangia nimefika hapa ni siku tatu sasa na tayari nahisi napendwa na watu wake kwa kweli ni wakarimu.
Kulikuwa na klabu nyingi zilinitaka lakini klabu ambayo ilitoa ofa ilikuwa ni hii ya Guangzhou.
Wengi watauliza kwanini China? Ukweli ni kwamba sioni kama nahitajika onyesha zaidi ya niliyoyaonesha kwa kufunga magoli karibia mia moja katika ligi mgumu kama ya Uingereza.
Ninawashukuru Balckburn, mashabiki wake na wachezaji wenzangu kwa kufanya msimu wangu mmoja pale niuone kama miaka kumi, nawashukuru sana na nawaombea warudi (wapande daraja msimu ujao)” alisema Yakubu.

Mpaka sasa haijajulikana Yakubu ameuzwa kwa bei ya kiasi gani na wala mshahara wake haujulikani ni kiasi gani atakuwa anapokea, ingawaje mwenye amedai hela sio swala lililompeleka huko Uchina.

Chanzo: Bbc

Advertisements

Posted on June 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: