Martin Skrtel: Hakuna timu iliyotoa ofa mie bado Mliverpool.


Skrtel (kulia)

Martin Skrtel amewapa raha mashabiki wa Liverpool kwa kusema ya kuwa hajapata ofa yoyote na kuwa haondoki.

Inasemekana Man City walikuwa wanamtaka beki huyo wa Liverpool pamoja na beki wa Newcastle Fabricio Coloccini.

Skrtel hakukanusha uwezekano wa kuihama klabu hiyo ila aliendelea tu kusisitiza ya kuwa hakuna klabu iliyotoa ofa kwa ajili yake.

” Katika magazeti pamekuwa na uvumi mwingi kuhusu mie, napenda kuwataarifu mashabiki ya kuwa mpaka sasa sijapata wala kupokea ofa yoyote toka klabu yoyote na wala sajakuwa na maongezi na klabu yoyote ile” alisema Skrtel.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on June 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: