Liverpool wahamia kwa Moses..


Moses

Timu ya Liverpool itahamisha nguvu zake zote za usajili kwa Victor Moses kama Gylfi Sigurdsson akiamua kujiunga na Tottenham.

Kiungo huyo wa Hoffenheim (Sigurdsson) alikuwa ndio chaguo la kwanza kwa Brendan Rodgers baada ya kuonyesha uwezo wake pindi alipokuwa Swansea kwa mkopo.

Tottenham wanaelekea kumnyakua mchezaji huyo kwa kumuahidi kumlipa mshahara mkubwa zaidi ya ule ambao angeupata Liverpool. Kama Liverpool ikimkosa mchezaji huyo basi macho na nguvu zote zasemekana zitahamishiwa kwa mchezaji wa Wigan Victor Moses.

Chanzo: The sun

Advertisements

Posted on June 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: