Italia yaingia Fainali. Italia 2 – 1 Ujerumani.


Mario Balotelli

Mario Balotelli ameweka historia nyingine katika maisha yake baada ya kufunga magoli mawili dhidi ya Ujerumani katika nusu fainali hiyo.

1-0 Balotelli

Mchezaji huyo wa Man City aloifunga goli lake la kwanza kwa kichwa ndani ya dakika 20 baada ya kukutana na krosi ya Antonio Cassano.

Ballotelli: 2-0

Goli lake la pili lilikuwa ni shuti kali ambalo Manuel Neuer (kipa wa Ujerumani) alibakia akoishangaa tuu na hivyo kumpelekea Balotelli kuwa na magoli matatu na kujikita kileleni na waongoza magoli wengine wenye magoli matatu.

Mesut Ozil

Ujerumani Goli lao liloifungwa na Mesut Ozil kupitia mkwaju wa penati ambao haukutosha kuwapeleka fainali.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: