Chelsea na Napoli wamgombania Pereira..


Alvaro Pereira

Chelsea itawabidi wapigane vikumbo na timu ya Napoli kwa ajili ya kumpata beki wa Porto Alvaro Pereira.

Pereira mwenye umri wa miaka 26 alikuwa anatarajiwa kumfuata kocha AVB Chelsea msimu uliopita lakini uhamisho huo haukufanikiwa kufanyika.

Mbali na kusaini mkataba mpya amabao utamfanya akae klabuni hapo mda mrefu, Pereira ameshaanza onyesha dalili za kutaka kuohama klabu hiyo na kumfanya awe mwenye kusubiria ofa nzuri toka klabu zingine ili aweze ondoka Porto.

Kuondoka kwa Bosingwa Chelsea kunapelekea klabu hiyo kuanza msako wa beki mpya na inasemekana Pereira ndio anayefuatiliwa lkuziba nafasi hiyo.

Huko Italia nako tetesi zadai ya kuwa Napoli tayari wameshatoa paundi mill 12.8 kwa ajili ya beki huyo wa pembeni.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on June 29, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: