Tottenham kumpata Sahin kama watampoteza Modric..


Nuri Sahin

Timu ya Tottenham inaweza ikajipunguzia machungu ya kumpoteza Modric kwa kumpata mchezaji Nuri Sahin.

Real Madrid ndio timu ambayo kwa sasa inaongoza mbio za kumnyakuwa mchezaji huyo wa Tottenham. Jose Mourinho anauhakika wa kumpata mchezaji huyo kwa kuwapiku Man Utd na Chelsea na yupo tayari kutoa hela pamoja na Sahin ili kuweza kumpata Modric.

Modric.

Tottenham wamesema hawatomuuza Modric kwa bei isiyopungua paundi mill 40. Lakini kwa ofa ya paundi mil 30 na Sahin ndani yake itakuwa ngumu kwa Tottenham kukataa.

Tottenham mpaka sasa hawana kocha na mtu ambaye mpaka sasa anayeweza kuwa kocha klabuni hapo ni AVB ambaye itamlazimu aifundishe timu hiyo bila ya uwepo wa Modric.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: