Cardiff wamtaka Bellamy..


Craig Bellamy

Cardiff wanajaribu kumshawishi mshambuliaji wa Liverpool Craig Bellamy kurudi nyumbani Wales ambako ndipo Cardiff ilipo.

Bellamy aliichezea na kuwa nahodha wa timu ya Cardiff msimu mzima wa 2010/11 akitokea kwa mkopo panapo klabu ya Man City.

Mchezaji huyo mwenye asili ya Wales amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na Liverpool lakini Mwenyekiti wa Cardiff Alan Whiteley anatarajia kuongea na mshambuliaji huyo kama kocha mpya wa Liverpool Brendan Rodgers akiamua kumuachia.

“Tutafurahi sana kama tutampata Craig tena. Kwa sasa yeye ni mchezaji wa Liverpoll, lakini kama Craig akiamua anataka kuondoka Liverpool na Liverpool wakiwa hawamuhitaji tena basi hapo tutafanya kila liwezekanalo ili tuweze mleta Cardiff” alisema Alan Whiteley.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: